KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii imeitaka serikali kuangalia upya mfumo mzima wa ukataji tiketi wa kielektroniki kwa mashabiki wa mpira wa miguu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Imetaka serikali kuitisha kikao cha wadau wote yaani benki ya CRDB,