Baada
ya status ya Adebayor ambayo ilishtua watu wengi kwenye mtandao hao
mchezaji Didier Drogba alimpost Adebayor na kumuombea mambo ambayo
yanaenda vibaya na familia yake yaende vizuri. Sasa kwenye ile ile post
dada yake Adebayor anaitwa Lucia Adebayor amemjibu akienda kinyume na
status ya Ade.
Tafsiri yake kwa ufupi ni hii hapa,
“Endelea kuongopea kaka, yako wapi magari uliyompa mama. Umeyachukua yote. nyumba unayosema umemnunulia dada vyote ni uongo. Simu alizoiba Rotimi vyote ni uongo. Pesa sio kila kitu, sisi ni familia na hatukuitaji tena uwe peke yako na sisi tuwe peke yetu. Ukweli kwamba unazo sasa hivi lakini havikuhakikishi mambo ya kesho. Mungu akusamehe.”

No comments:
Post a Comment