Mshambuliaji
Christian Benteke ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu England kwa mwezi
wa Aprili.
Benteke
amekuwa mchezaji wa kwanza wa Aston Villa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa
mwezi tokea Desemba, 2008 alipishinda Ashley Young ambaye sasa yuko Manchester
United.