Saturday, April 1, 2017

LIGI YA MKOA WA KILIMANJARO YAFIKIA PATAMU

Ligi ya mkoa wa kilimanjaro imefikia shemu nzuri baada ya timu sita zilizofuzu hatua ya sita bora kuoneshana ubabe hapo kesho kutafuta pointi tatu muhimu

ligi hiyo inataraji kufika tamati kesho jumapili kwa kushuhudia michezo kadhaa ambayo itakuwa na mvuto zaidi

wakati kesho kutakuwa na mechi zifuatazo
NEW GENERATION FC VS MACHAVA FC }
FOREST  FC VS MACHAME UTD
UZUNGUNI VS RONGAI FC

NA HUU NDIYO MSIMAMO WA LIGI YA MKOA WA KILIMANJARO KABLA YA MECHI ZA KESHO
1.NEW GENERATION P4 GD7 PTS 10
2.MACHAVA FC P4 GD 4 PTS 8
3.FOREST P4 GD 2 PTS 8
4.MACHAME P4 GD 0 PTS 4
5.RONGAI P4 GD 4 PTS 1
6.UZUNGUNI P4 GD 9 PTS 1

HUO NDO MSIMAMO WA LIGI YA MKOA WA KILIMANJARO NA BAADA YA MECHI ZA KESHO BINGWA ATAPATIKANA
ENDELEA KUFUATILIA RAM MBEGEZE

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif