Ghana imefuzu kucheza katika hatua ya gainali ya Afcon baada ya kuwachapa wenyeji Guinea kwa mabao 3-0.
Friday, February 6, 2015
WABUNGE WAVALIA NJUGA TIKETI ZA ELEKTRONIC
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii imeitaka serikali kuangalia upya mfumo mzima wa ukataji tiketi wa kielektroniki kwa mashabiki wa mpira wa miguu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Imetaka serikali kuitisha kikao cha wadau wote yaani benki ya CRDB,
AGREY MORIS NA NYOSO WAFUNGIWA
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyosso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.
Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL).
WATOTO WA PELE WATUPIA KAMBA GHANA IKITINGA FINAL YA AFCON
Ghana imefuzu kucheza katika hatua ya gainali ya Afcon baada ya kuwachapa wenyeji Guinea kwa mabao 3-0.
Subscribe to:
Posts (Atom)