Timu ya new generation wamefanikiwa kuwa mabingwa wa mkoa wa kilimanjaro mara baada ya kupata ushindi katika mchezo wa leo dhidi ya machava fc wa mabao 4 kwa 1
mechi zingine matokeo ni
uzunguni 3-0 rongai fc
forest 4-1 machame fc
msimamo wa ligi uko kama ifuatavyo
1.NEW GENERATION FC P5 GD 10 PTS 13
2.FOREST P5 GD 5 PTS 11
3.MACHAVA P5 GD 1 PTS 8
4.MACHAME P5 GD 3 PTS 4
5.UZUNGUNI P5 GD6 PTS 4
6.RONGAI P5 GD 7 PTS 1
mechi zingine matokeo ni
uzunguni 3-0 rongai fc
forest 4-1 machame fc
msimamo wa ligi uko kama ifuatavyo
1.NEW GENERATION FC P5 GD 10 PTS 13
2.FOREST P5 GD 5 PTS 11
3.MACHAVA P5 GD 1 PTS 8
4.MACHAME P5 GD 3 PTS 4
5.UZUNGUNI P5 GD6 PTS 4
6.RONGAI P5 GD 7 PTS 1
No comments:
Post a Comment