KAMA ZALI MWANANGU, URENO NA RONALDO WATINGA NUSU FAINALI EURO KWA KUICHAPA POLAND KWA PENATI 5-3
Unaweza
kusema kama zali mwanangu, maana Ureno iliyokuwa inaonekana itaishia
hatua ya makundi ya Kombe la Euro, leo imetinga nusu fainali.
Ureno inayoongozwa na nahodha wake Cristiano Ronaldo imetinga nusu fainali kwa kuibandua Poland kwa mikwaju 5-3 ya penalti.
Changamoto ya mikwaju ya penalti ilipewa nafasi baada ya sare ya bao 1-1 katika dakika 90 na baadaye 120.
Poland starting XI:
Fabianski,
Piszczek, Glik, Pazdan, Jedrzejczyk, Blaszczykowski, Krychowiak,
Maczynski (Jodlowiec), Grosicki (Kapustka), Milik, Lewandowski
Portugal starting XI:
Rui Patricio, Cedric, Pepe, Fonte, Eliseu, William Carvalho (Danilo),
Joao Mario (Quaresma), Renato Sanches, Adrien Silva (Moutinho), Nani,
Ronaldo