Kaka ameiokoa timu
yake ya Orlando City kwa kufunga bao muhimu lililoisadia kupata sare ya bao 1-1
dhidi ya New York.
Kikosi cha Kaka
kilikuwa nyumbani dhidi ya New York anayoichezea mshambuliaji wa zamani wa
Barcelona, David Villa.
Mashabiki walijitokeza
kwa wingi zaidi katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Marekani maarufu kama Major
League.
Kaka raia wa Brazil
aliyewahi kung’ara akiwa na AC Milan kabla ya kwenda Real Madrid, alikuwa nyota
katika mechi hiyo.
Orlando City
(4-2-3-1): Ricketts
6; Ramos 6, Colin 5, Hines 7, Shea 7; Higuita 6, Okugo 6; Molino 6.5; Kaka 8,
Neal 6 (Rochez 80); Rivas 6 (St. Ledger 90).
Subs not ised: Edwards Jr, Avila, Boden, Cascio, Ceren.
Booked: Shea, Molino, Higuita
Manager: Adrian Heath 6
New York City
(4-4-1-1): Saunders
6.5; Williams 6, Wingert 6, Hernandez 6, Brovsky 6; Jacobson 6, Ballouchy 5.5
(Shelton 62), Grabavoy 6, Diskerud 7 (Velasquez 87); Villa 6.5; Nemec 6 (Calle
89).
Subs not used: Fitzgerald, Watson-Siriboe, Poku, Mullins.
Booked: Ballouchy, Hernandez, Brovsky
Manager: Jason Kreis 6
Referee: Alan Kelly 6.5
Attendance: 62,510
No comments:
Post a Comment