Chelsea imeamua kuboresha
safu yake ya ulinzi na sasa iko tayari kumtwaa beki Raphael Varane wa Real
Madrid.
Chelsea iko tayari kumwaga
kitita cha pauni 40 kwa ajili ya kumnasa beki huyo inayeelezwa hana furaha.
Varane mwenye miaka 21
amekuwa hana furaha huenda kutokana na kutopata nafasi ya kucheza kwa kiasi
kikubwa.
Madrid inawategemea
wakongwe Pepe na Sergio Ramos.
No comments:
Post a Comment