Saturday, November 26, 2016

Mourihno kumleta star huyu wa Chelsea ndani ya O.T

screen-shot-2016-11-25-at-8-55-15-pm
Bila shaka kila mtu anajua kwamba Jose ni shabiki mkubwa sana wa  brazilian star Willian kutokana na perfomance aliyoonyesha wakati yupo naye. Sasa hivi ameonekana kuto shine chini ya kocha mpya Conte. Kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa Chelsea umefanya hadi mchezaji huyu asionyeshe makali yake.
Ripoti kutoka kwenye vyombo vya habari vya England ni kwamba ikifika January, manager wa Manchester united atajaribu kumleta mchezaji huyo ndani ya kikosi chake. Imekua ghafla sana kwa mabadiliko ya uwnajani kwa mchezaji Willian ambae msimu uliopita alikua anafunga magoli lakini imekua tofauti kwa sasa hivi.
Mambo yote yatafahamika ikifika kipindi cha usajili wa dirisha dogo mwezi January.
Jose alikua ana uhusiano mzuri na mchezaji Willian
Jose alikua ana uhusiano mzuri na mchezaji Willian

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif