NABII WA KIMATAIFA SHEPHERD BUSHIRI KUANZISHA CHUO CHA MICHEZO
Nabii wa kimataifa wa huduma ya ECG(Enlighten christian gathering) anampango wa kuzindua rasimi chuo chake cha michezo kitakachoitwa Shepherd Bushiri Academy of Sports mnamo tarehe 21.01. 2017 kama alivyopost kwenye akaunti yake ya facebook.
No comments:
Post a Comment