Mshambuliaji nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa michuano ya Copa America.
Sanchez
ambaye ameiwezesha timu yake ya taifa ya Chile kubeba kombe hilo kwa
mara nyingine tena, amewapiku nyota wengine wengi wakiwemo Lionel Messi,
Angel Di Maria na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment