Winga
Memphis Depay hatakuwa na ujanja wa kuendelea kubaki Old Trafford pale
Kocha Jose Mourinho atakapoanza kuwatema anaoamini hawana faida katika
kikosi chake Januari, mwakani.
Depay aria wa Uholanzi aliyetua Man United kwa dau la pauni milioni 25, hana ujanja na hawezi kusalimika hats kidogo.
Wengine
ambao wameingia kwenye msitari huo mwekundu na wataachwa katika kikosi
cha Manchester United ni Morgan Schneiderlin, Marcos Rojo na Matteo
Darmian.
No comments:
Post a Comment