Mshambuliaji
nyota wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang ambaye
alisimamishwa katakana na utovu wa nidhamu amerejea kikosini na
kuonyesha ni mtu hatari baada ya kupiga mabao manne katika ushindi wa
5-2.
Dortmund imeigaragaza Hamburg SV katika mechi kali ya Bundesliga na kuifanya timu kushinda mfululizo katika mechi tano.
No comments:
Post a Comment