HAWA JAMAA PEKE YAO MPAKA SASA WAMESHAWEKA KAMBANI BAO 13
COSTA 8 HAZARD 5
Msimu uliopita wakiwa chini ya Jose hawakucheza kama msimu huu
ambapo wanajituma sana.yale maswali ya msimu uliopita kuwa walikuwa na bifu na mwalimu wao yawezekana kuwa kweli kwa mbaaaali yakawa ya kweli au ni kutokana na mchezaji na msimu fulani anakuwa na kiwango cha kupanda na kushuka?

No comments:
Post a Comment