Tuesday, November 1, 2016

KOCHA BARCELONA AMTUMIA ONYO PEP GUARDIOLA NA MAN CITY YAKE


Kocha Mkuu wa Barcelona, Luis Enrique amemuonyesha yule wa Man City, Pep Guardiola anaweza kukumbana na kipigo kingine.
Barcelona tayari ipo mjini Manchester tayari kwa mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya City.
Enrique anaamini waki tayari, kikosi chake ni bora na imara na kinaweza kutembeza kipigo ugenini.
Zikiwa mini Barcelona, wenyeji walishinda kwa mabao 4-0 na kuaicha hoi Man City ya Guardiola.

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif