Nyota wa Man City, Samir Nasri ameamua
kuliuza jumbo lake la kifahari la mjini Ceshire, England kwa kitita cha
pauni million 5.7.
Nasri ambaye sasa anakipiga kwa mkopo
Sevilla ya Hispania ameamua kuliuza jumbo hilo lenye ukumbi wa disco,
bwawa kubwa la kuogelea, stoo kubwa ya mvinyo na kadhalika.
Uamuzi huo wa Nasri mwenye umri wa miaka 29 ni dalili ameamua kubaki Hispania na huenda akaishaiwishi Man City imuuze kabisa.
No comments:
Post a Comment