Mshambuliaji
wa zamani wa Barcelona, Samuel Eto’o anaweza kufungwa miaka 10 na kama
atapatikana na hatia ya ukwepaji kodi nchini Hispania.
Eto'o ambaye ni mmoja wa wachezaji waliochukua tuzo ya Mwanasoka Afrika mara nne. Sasa anakipiga Antalya Spor wa Uturuki.
Mahakama
nchini humo imeanza kusikiliza kesi ambayo tayari imeeleza kuda kitita
cha cola million 15.1 kwa mshambuliaji huyo kwa madai alikwepa kodi
wakati wakati akiichezea Barcelona.
Taarifa
zimeeleza, mwakilishi wa Eto’o, Jose Maria Mesalles Mata ndiye anaweza
kukutana na adhabu hiyo kama mwanasoka huyo raia wa Cameroon hatatokea.
No comments:
Post a Comment