Bondia Manny Pacquiao amemtwanga mpinzani wake Jessie Vargas kwa pointi na kubeba ubingwa wa Welterweight wa WBO.
Pambano
hilo lililofanyika mjini Las Vegas, Marekani lilishuhudiwa na mpinzani
mkubwa wa Pacquiao, Floyd Mayweather ambaye alitangaza kustaafu akiwa
amecheza mapambano 49 na kushinda yote.
No comments:
Post a Comment