Kawaida
hapa nyumbani, wachezaji wa timu mbalimbali kubwa hupelekwa mazoezini na basi.
Huo
ndiyo utaratibu, lakini inapofikia katika timu kubwa, kila mchezaji hutinga
mazoezini na usafiri wake.
Picha
hizi zinaonyesha namna wachezaji wa Man United ambavyo hutinga na kuondoka
mazoezini wakiwa na usafiri wao.
No comments:
Post a Comment