Kikosi
cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys tayari
kipo mjini Victoria nchini Shelisheli kuwavaa wenyeji katika mechi ya
kuwania kucheza michuano ya Afrika.
Katika
mechi ya kwanza, Serengeti Boys waliibuka na ushindi wa mabao 3-0
jijini Dar es Salaam na sasa wanatakiwa kupata sare ya aina yoyote au
ushindi ikiwezekana.
Kocha
Mkuu, Bakari Shime alisema amewaambia wachezaji wake kusahau ushindi
uliopita na sasa nguvu na katika mechi ya wikiendi hii.
No comments:
Post a Comment