Beki Kurt Zouma amerejea uwanjani na kuichezea Chelsea kwa mara ya kwanza miezi nane.
Zouma
aria wa Ufaransa alivunjika mguu upande wa viunganishi via mguu lakini
jana ameichezea Chelsea akikitumikia kikosi cha vijana chino ya miaka
23.
Katika
kikosi hicho, Zouma mwenye umri wa miaka 21, alicheza vizuri katika
mechi hiyo dhidi ya Derby County na kuonyesha sasa yuko safi.
Daktari
alitaka acheze kwa dakika 45 tu, kweli akafanikiwa. Maana yake baada ya
hapo atakuwa chini ya uangalizi huku akijiandaa kurejea katika kikosi
cha Kocha Antonio Conte.
No comments:
Post a Comment