Sweta walizovaa wachezaji wa Arsenal wakiwa kwenye picha ya kikosi, zimezua mjadala mkubwa hasa kwa mashabiki wao barani Asia.
Wengi
hawakuelewa kuhusiana na sweta hizo, hasa baada ya wachezaji wa Arsenal
kuonekana wakiwa na Kocha wao, Arsene Wenger wakiwa wametupia sweta
hizo.
Wengi
waliamini ni jezi mpya na kuanzisha mjadala mpana mtandaoni wakipinga
lakini Arsenal kitengo kinachoshughulika na masuala ya masoko barani
Asia, kimefafanua.
Kwamba hizo ni sweta maalum kwa ajili ya sikukuu na lengo ni ksuaidia watoto wenye matatizo baada ya mauzo yake.
No comments:
Post a Comment