Mashabiki
wa Simba waliojitokeza kwenye Uwanja wa Shule ya Popatlal mjini
kushuhudia mazoezi ya timu yao, wengi walikuwa wanatumia usafiri wa
baiskeli.................
Kwa jiji la Dar, ni nadra kuona wengi wakitumia pikipiki maarufu kama bodaboda.
Simba iko mjini Tanga ikisubiri mechi yake ya kesho dhidi ya cost union ya tanga

No comments:
Post a Comment