Friday, February 6, 2015

WATOTO WA PELE WATUPIA KAMBA GHANA IKITINGA FINAL YA AFCON




Ghana imefuzu kucheza katika hatua ya gainali ya Afcon baada ya kuwachapa wenyeji Guinea kwa mabao 3-0.


Katika mechi hiyo huku ndugu wawili, Jordan Ayew na Andre Ayew ambao ni watoto wa gwiji wa soka Ghana, Abeid Pele kila mmoja akifunga bao moja katika hayo matatu yaliyoivusha Ghana.

Hata hivyo mechi hiyo iliingia dosari kubwa zikiwa zimebaki dakika nane baada ya mashabiki wenyeji kuanza kurusha chupa uwanjani.

Hali hiyo ililazimisha mpira huo kusimama kwa takribani dakika 25, baadaye mashabiki walitolewa kabla ya mwamuzi kuchezesha kwa dakika tatu na kumaliza.
Wakati wote huo, helkopta ilikuwa ikipita

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif