Ivo Mapunda hivi sasa ni mchezaji wa Azam FC akiwa anaongeza safu ya kikosi hicho kwenye sehemu ya ulinzi wa lango lao. Kupitia Azam FC Ivo Mapunda alisema haya kuhusu yeye kujiunga na Azam FC’
“Naamini Azam ni timu bora, sawa timu bora Afrika Mashariki na Kati, hata kama ningeenda kucheza Kenya nadhani huenda nisingepata timu nzuri kama Azam, naamini kabisa ni professional klabu tofauti na klabu nyingine ambazo nimewahi kucheza kwa hapa Afrika Mashariki na Kati na ndio maana nikaona bora nibaki hapa niweze kucheza.”
No comments:
Post a Comment