Inaonekana kuwa sasa Chelsea wamekuwa wakijuta katakana na kutowapa
nafasi ya kutosha washambuliaji wao wawili wa zamani, Romelu Lukaku na
Kevin De Bruyne.
Lukaku sasa ni tegemeo la ufungaji Everton huku De Bruyne akisumbua na kikosi cha Man City chino ya Pep Guardiola.
THORGAN HAZARD |
Mshambuliaji, Thorgan Hazard anayekipiga katika kikosi cha Borussia Mönchengladbach ya Ujerumani ameyasema hayo.
“Nina uhakika ni hivyo, watakuwa wanajuta kutokana na kushindwa kuwapa
nafasi. Sasa wangekuwa msaada mkubwa kwao,” alisema ambaye pia ni raia
wa Ubelgiji kama ilivyo kwa De Bruyne na Lukaku.
Wachezaji hao walishindwa kabisa kupata nafasi katika kikosi cha Chelsea chini ya Jose Mourinho.
No comments:
Post a Comment