Friday, November 18, 2016

HAZARD MCHEZAJI BORA WA OKTOBA ENGLAND, CONTE KOCHA BORA

Nyota wa Chelsea, Eden Hazard akiwa ameshikilia tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Oktoba baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kufunga mabao matatu mwezi uliopita   PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Kocha wa Chelsea, Antonio Conte akiwa ameshikilia tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Oktoba baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kuiongoza The Blues kushinda mechi zote nne za mwezi huo

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif