Saturday, June 18, 2016

BREAKING NEWS: CAF YAMZUIA KESSY KUIVAA MO BEJAIA KESHO HADI SIMBA ITOE RUHUSA


SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA (CAF) LIMESEMA BEKI HASSAN KESSY HAWEZI KUCHEZA KATIKA MECHI DHIDI YA MO BEJAIA HADI KLABU YA SIMBA ITAKAPOTOA BARUA YA RUHUSA KWAMBA ILIMALIZANA NAYE NA IMERIDHIA KUJIUNGA KWAKE NA YANGA.
TAYARI KESSY NA KIKOSI CHA YANGA WAKO BEJAIA NCHINI ALGERIA KWA AJILI YA MECHI HIYO YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA, KESHO.

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif