Monday, November 21, 2016

Goli la Diego Costa lililoipeleka Chelsea kileleni EPL Nov 20 2016


Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 imeendelea tena jana  November 21.2016 kwa mchezo mmoja kuchezwa,  Chelsea iliyochini ya kocha wake Antonio Conte walisafiri hadi dimba la Riverside kucheza na wenyeji wao Middlesbrough katika mchezo wao wa 12 wa EPL.
3a95226c00000578-0-image-a-35_1479660611343
Chelsea wakiwa ugenini wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli likitiwa nyavuni na mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania mwenye asili ya Brazil Diego Costa dakika ya 41, kwa ushindi huo Chelsea wanashika usukani wa Ligi Kuu.

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif