Monday, November 21, 2016

Style mpya ya kushangilia ya Ronaldo yazua gumzo mtandaoni.

cr7
Ilikua ni Jumamosi nzuri kwa Cristiano Ronaldo baada ya kufunga hatrick yake ya 39 tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Ronaldo alipiga magoli yote matatu kwenye mechi dhidi ya Atletico kwenye mechi ya La Liga.
Baada ya Barcelona kutoka 0-0 na Malaga, Real Madrid wapo juu ya table kwa point 4 clear. Kwenye mechi ya Real Madrid, Ronaldo alishangilia magoli yake kwa style mpya ya kuchuchumaa na kama anashangaa hivi. Sura yake ilionyesha kama vile kikatuni kinachofikiria maarufu sana kwenye Whatsapp(Thinking Emoji).
Baada ya mechi watu wengi walichezea picha yake kwenye photoshops na program nyingine na kuifanya picha hiyo isambae sana mitandaoni kwa style tofauti. Hizi ni baadhi ya picha zenyewe.
1 2 3 4 5 6 7 9

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif