Cristiano Ronaldo ameonyesha kweli ni mshambuliaji hatari na kiboko kati ya waliowahi kuichezea Real Madrid. Tokea ametua Madrid takwimu zinaonyesha hivi: Mechi 361 Mabao 374 hat-tricks 39 Makombe 8 Ballon d'Ors 2
No comments:
Post a Comment