Monday, November 21, 2016

Maguli kaeleza soka la Oman, usitarajie kuwaona wanawake uwanjani

Mshambuliaji wa Taifa Stars na Dhofar ya Oman Elias Maguli alipitia changamoto nyingi sana hapa karibu baada ya kuachwa na Simba dakika za mwisho kabla ya dirisha la usajili kufungwa, baadae akajiunga na Stand United ya Shinyanga na sasa yupo Oman, tumempata na kaeleza soka la Oman.
“Maisha ya soka Oman yapo vizuri tu tofauti ni kwa sababu inakuwa sio nchi uliyokuwa umeiozoea, lakini mchezaji wa mpira anakuwa hana ugeni, mimi kwa sasa nimeifungia magoli manne, utofauti wa huku ni kuwa huwezi kuwaona

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif