Mshambuliaji
Marcus Rashford wa Manchester United ameonyesha kweli soka linalipa
baada aya kutinga mazoezini akiwa na gari lake jipwa aina ya Mrcecedes
Benz.
Gari
hilo lina thamani ya pauni 60,000 (zaidi ya Sh milioni 150) ni gari
jipya la mwanafunzi huyo ambaye amelipata baada ya mkataba wake mpya na
Man United.
Rashford amekuwa na mwenendo mzuri akiwa na kikosi cha Man United pia kikosi cha timu ya taifa ya England.
No comments:
Post a Comment