picha za utoto za staa wa mkongwe wa Real Madrid Zinedine Zidane, mkongwe wa zamani wa AC Milan Paolo Maldini, kiungo wa zamani wa Real Ricardo Kaka.
Wengine ni mkali wa zamani wa FC Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Miroslav Klose, Wayne Rooney wa Man United na Andriy Shevchenko aliyetamba katika vilabu vya AC Milan na Chelsea.
No comments:
Post a Comment