Thursday, November 17, 2016

UNAJUA SIMBA WANAMTAKA TENA EMANUEL OKWI?

Okwi



Simba ina mpango wa kumsajili Emanuel Okwi kwa dola 120,000 wakati miezi michach iliyopita simba walimuuza mchezaji huyo kwenye klabu ya  Sonderjyske ya nchini Denmark kwa dola za kimarekani 120,000 kwa maana amepand kiwango tofauti na msimu ule simba wanamuuza kwenda Denmark

No comments:

Post a Comment

-------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------
HABARI MPYAMPYAhttp://2.bp.blogspot.com/-mFnDPXvIysA/VOZH1z-2rpI/AAAAAAAAADs/shOR30FtkF4/s1600/anigif.gif