lakini Brazil ndio imekuja vingine na inaonekana kuja kwa kasi na itapanda mpaka nafasi ya 2.
Brazil wangeweza kutwaa nafasi ya kwanza kama Argentina ingepoteza mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya Colombia siku ya Jumanne, lakini ushindi wa 3-0 uliwabakisha katika nafasi ya 1 mpaka sasa.
Brazil iliyokuwa chini ya kocha mpya Tite, hawajawahi kuongoza msimamo huo wa FIFA tangu muda mfupi kabla ya kombe la dunia la mwaka 2010. Waliwachapa Argentina mabao 3-0 wiki iliyopita kabla ya kuwafunga 2-0 mjini Peru. Hivyo nafasi hii ya sasa inamaanisha wanarejea katika nafasi ya juu kama hiyo tangu miaka 6 iliyopita.
MSIMAMO MPYA WA FIFA, Top 20 UTAKAVYOKUWA.
1 Argentina
2 Brazil
3 Germany
4 Belgium
5 Chile
6 Colombia
7 France
8 Portugal
9 Uruguay
10 Spain
11 Switzerland
12 Wales
13 England
14 Croatia
15 Poland
16 Italy
17 Costa Rica
18 Mexico
19 Peru
20 Ecuador
No comments:
Post a Comment